HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Alhamisi, 22 Mei 2014

AJALI YA GARI KUMGONGA MWENDESHA BAISKELI IHEMI BARABARA YA IRINGA -ZAMBIA


Dereva wa gari iliyokuwa ikisafirishwa  kutoka bandari ya Dar es Salaam kwenda nchi  za kusini mwa Tanzania mbae  jina lake halikuweza  kupatikana akimpa msaada  mzee Mussa baada ya  dereva  huyo kumgonga na gari lake kushoto leo
Mzee  aliyegongwa akiwa amelala chini
Wanahabari  mkoa  wa Iringa ambao  walikuwa  safarini kwenda Mbeya katika mafunzo ya TFDA kwa  waandishi na  wahariri wakimsaidia majeruhi  huyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni