HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumapili, 18 Mei 2014

AJINYONGA HADI KUFA

Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ruhara Sambala (70) afariki dunia baada ya kujinyonga mkoani Iringa.
 
Akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com ofisini kwake, Kamanda wa polisi mkoani hapa Ramadhani Mungi alithibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea mnamo tarehe 15 mei majira ya saa 11 Alfajiri huko maeneo ya Kijiji cha Ugute wilaya ya Mufindi.
 
Kamanda alisema mtu huyo alijinyonga kwa kutumia kamba za mti uliokuwepo porini hapo hata hivyo chanzo cha tukio hilo bado kinachunguzwa.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni