Ni Asajile Lisyele Mwkt kanda ya ya uyole akiongea na wandishi wa habari |
mwekt wa bodaboda mkoa wa mbeya bwana Vicent mwashoma |
hizi ni baadhi ya pikiki zilizo kuwa kimepaki kipindi ambacho viongozi wa bodaboda walipokuwa kwenye kikao hicho leo hii |
Chama cha waindesha pikipiki maarufu kama boda boda mkoani mbeya imeayomba serikali kuondoa ushuru wa
pikipiki wa sh 200 kutokana na kutokuwepo na utaratibu mzuri wa ulipaji wa ushuru huo pamoja
na kutoboreshewa mazingira ya sehemu
zao za kazi kutokana na ushuru wanao
lipa
hayo yamesmwa na mwenyekiji
wa chama hicho BWANA VICENT
MWASHOMA katika kikao kilicho fanyika ukumbi wa tumaini lodge uliopo maeneo ya ilomba mkoani
mbeya, kikao hicho kilihudhuliwa na viongozi wa bodaboda wa kanda zote za mbeya
pamoja viongozi wa usalama barabarani mkoa wa mbeya
Pamoja na hayo mwenyekiti ameongeza kuwa kampuni iliyopewa
mamlaka ya kukusanya ushuru huo haina utaratibu maluum kwani
wafanyakazi wa kampuni hiyo ya JAGRO wanatumia
mabavu au nguvu na
kuwalipisha faini ya sh 50000 kwa kila
pikipiki hali ambaya inasabaiasha
madreva wa bodaboda kutotoa ushrikiano na wafanya kazi hao
Pamoja na hayo mwkt huyo amesema kutokana na ushuru wano utoa serikali
iboreshe mazingira ya sehemu ya kazi
zao,kwa kujengewa vyoo katika vituo wanavyo egeshea pikipiki zoa au kwa ku watengenezea sehemu
nzuri ya kuvuri
Naye makamo mwkt wa chama hicho bwana ZUBERY SAIBON amesema mbali na matatizo hayo yapo mengi kama
halimashauri inatakiwa iweke vituo
mbalimbali vya kuakatishia ushuru sio kama ilivyo hivi sasa ambapo kuna kituo vichache
vya kukatia ushuru hali ianayo sabaisha watu kuto kata ushuru kiu rahisi
pia ameiomba serikali kudhamini kazi yao kwasababubu kunakasumba ya baadhi ya maskari kuwa nyanyasa madreva boda
boda bila sababu za msingi hali inayo leta uhasama kati ya madreva bodaboda na jeshi la polisi
Kwa upande wake mlezi
msaidizi wa vikundi vya kijamii mkoa wa mbeya
bwana JEREMIA MGANJA ambaye pia ni msaidizi wa kitengo cha
usalama barabarani mkoa wa mbeya amesema
kuwa yeye sio msemaji mkuu kuhusu
malalamiko hayo ila amedai kuwa maombi yote yatafikishwa kwa mkurugenzi jiji yeye ndio atakae chuakua hatua
na utekelezaji wa matatizo, mbali
na hayo bwana Jeremia amewasa
boda boda kufuata sheria za barabani ili kuondoka na migogoro kwa
maaskari wa barabani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni