HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumapili, 25 Mei 2014

CHUO KIKUU IRINGA CHASHIRIKI MAONESHO YA VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM



Naibu Makamu Mkuu-Taaluma wa Chuo Kikuu cha Iringa (UoI), Dk. Richard Lubawa akimsikiliza kwa makini mwanafunzi aliyepita katika banda lao katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayofanyika Dimond jubilee jijini Dar es salaam (Picha na Shishira Mnzava). Chuo hicho zamani kilijulikana kama Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa (IUCo).

Afisa Udahili wa Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) Meleckzedeck Nduye wakishirikiana na Mhadhili wa Kitivo cha Sheria wa chuo hicho, Wakili Jane Marsey wakimsaidia mwanafunzi kujaza fomu ya udahili kujiunga na chuo hicho katika maonyesho ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) yanayofanyika Diamond Jubilee, Dar es Salaam ( Picha na Shishira Mnzava)

Naibu Makamu Mkuu-Taaluma wa Chuo Kikuu cha Iringa (UoI), Dk. Richard Lubawa akimwelekeza jambo mwanafunzi aliyepita katika banda la chuo hicho katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayofanyika Dimond jubilee jijini Dar es salaam (Picha na Shishira Mnzava). Chuo hicho zamani kilikuwa tawi la Chuo Kikuu cha Tumaini (IUCo).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni