| Dereva wa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini jina lake halikupatikana alitumbukia katika gema la uwanja wa Mwembetogwa mjini na kusababisha hali hiyo kupata itilafu kidogo |
| Hapa vijana wa Chadema wakisaidia kuchimbua eneo hilo ili gari hiyo itoke |
| waliendelea na jitihada hizo mpaka wakafanikiwa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni