Mohamed Jumanne (25) mkazi wa Kijiweni ameuwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha
kali kichwani na miguuni.
Akizungumza
na mtandao huu wa www.mwandishiwetublog ofisini kwake kamanda wa polisi mkoani hapa Ramadhani Mungi alithibitisha
kutokea kwa tukio hilo lililotokea mnamo tarehe 19 mei majira ya saa 11
Alfajiri huko maeneo ya kata ya Mivinjeni.
Kamanda
alisema kabla ya kifo chake marehemu alifungua kesi ya kujeruhiwa katika kituo
cha polisi cha wilaya ya Iringa ambapo alifariki dunia wakati akiendelea na
matibabu katika Hospitali ya mkoa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni