Mkazi mmoja wa kijiji cha 
idete kata ya idete kilolo iringa ajinyonga kwa kutumia kitambaa 
chumbani kwake
serikal yapoteza taarifa kwa kuamuru azikwe bila vyombo vya sheria 
mkazi anajulikana kwa jina la WITO 
YOHANA MYENDA na alikuwa na umri wa 
miaka 36 mke mmoja pamoja na watoto watano akiwemo wa kike mmoja na 
wakiume wa nne baada ya mazishi serikali ilitoa onyo kali la kuto toa 
siri hiyo wakidai police wana kazi sehem nyingine.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni