HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumanne, 20 Mei 2014

MANISPAA YA IRINGA YAANZA KUVUNJA NYUMBA ZINZOJENGWA BILA VIBALI


Nyumba  ya kisasa  ya  vyumba  zaidi ya 10  iliyokuwa  imejengwa  eneo la Mshindo mjini Iringa ikiwa imevunjwa na uongozi wa Manispaa ya Iringa usiku wa leo kutokana na kujengwa  bila kibali
Mkazi wa mjini Iringa akiitazama nyumba ya mkazi mmoja wa mjini Iringa iliyovunjwa
Hivi ndivyo nyumba  iliyojengwa bila  kibali  ilivyovunjwa mjini Iringa leo
barua ya  ombi la kibali ambayo haikujibiwa
Nyumba  hii pia inadaiwa kujengwa  bila  kibali

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni