Suala
la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa
sasa,kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya duniani
unaonesha kuwa zaidi ya asilimia themanini ya wanawake hawatoshelezwi
kimapenzi.
Moja ya sababu kubwa inayochangia kutotoshelezwa huku kwa hawa
wadada ni tatizo la upungufu wa uwezo wa mwanaume kumnyuka mwanamke
kisawasawa ili kumkata nyege kabisa kwa kufika kileleni.
Wanaume wengi wa sasa wamekuwa wabovu kabisa katika kusimamisha
mashine zao kiasi cha kuwa hata mdada awe mkali na mwenye mvuto namna
gani amejitahidi sana kumtandika basi bao tatu kisha kitu inalala
kabisaaa,tena kila bao huchukua dakika mbili tayari amekojoaLoo!
Zifuatazo ni njia chache na salama kabisa za kuamsha nguvu za kiume maradufu.
AINA ZA VYAKULA
Tusidanganyane chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka
zisizokobolewa ni vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani.
Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula ugali wa dona na sio sembe
kwani sembe huwa haina kiini cha njano chenye protini na wanga ambacho
ni silaha sana katika kuutia nguvu uume na mwili kwa ujumla.
Matunda pia kama matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga
nguvu za kiume.Vyakula vingine ni kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima
uwe na utamaduni wa kutumia aina hii ya vyakula katika maisha yako ya
kila siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio unajifanya kufakamia
mamihogo loo siku hiyo!
MAZOEZI
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwani hufanya mwili uwe fit na
hivyo huimarisha hata uume na kuufanya usilale kirahisi pale unapokuwa
katika show na mrembo. Push up, kukimbia, kurukaruka na mazoezi mengine
mengi ni muhimu sana.
ACHANA NA UNYWAJI WA POMBE ULIOPITA KIASI
Pombe ni hatari sana na inadhoofisha sana nguvu za kiume hivyo
chunga sana unywaji wa pombe uliopitiliza kwani ipo siku utajikuta
unamwangalia tu mkeo kama dada ako vile wakati yeye nyege zimempanda
balaa,matokeo yake itabidi achapwe na njemba zinazojua shughuli huko
nje.
ACHANA NA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Hizi dawa ni hatari sana hasahasa zile za hospitali kwani
maranyingi zimetengenezwa kwa kemikali ambazo huamsha vichocheo mwili
kwa muda flani lakini baada ya muda tatizo litaongezeka maradufu kwani
ni tiba kwa muda mfupi tu.
UWE MAKINI NA UPIGAJI PUNYETO
Hii kitu ni hatari sana hususani kwa wale wanaosugua sana
mishipa ya uume hivyo huifanya isiwe ngangari kiasi cha kukusaidia
kumshughulikia vizuri mtoto wa kike mwenye nyege zake. Hivyo kama
unafanya haka ka mchezo inabidi uwe makini sana usijejutia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni