HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumatatu, 26 Mei 2014

MTOTO WA MKULIMA PINDA AONYESHA MAFANO WA MAVUNO MAKUBWA YA MAHINDI SHAMBANI KWAKE


PG4A0268 PG4A0291Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akikagua mavuno ya mahindi kutoka shmabani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda Mai 24, 2014. Mheshimiwa Pinda anatarajia uvuna zaidi ya magunia 1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka hifadhi ya katavi. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni