HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumanne, 13 Januari 2015

4 SEASON HOTEL IRINGA KWA CHAKULA SAFI

Kwa  huduma  nzuri  ya  chakula  cha  kila aina ikiwemo kwenye  sherehe  mbali mbali  tembelea   karibu 4 season Hotel iliyopo barabara  ya kuelekea    Ikulu ndogo kwa  mkuu wa mkoa wa Iringa eneo la Gangilonga  ama  piga  simu 0713882088 au 0717345632
Aina  ya  vyakula  vinavyotengenezwa  4 Season Hotel Iringa



 Kumbuka  pia  tunatoa  huduma  katika  masherehe na  mikutano mbali mbali kwa gharama nafuu  zaidi  kuliko maeneo  mengine  yote  ,huduma  zetu  utazipenda  zaidi
Karibu  sasa  eneo  zuri la  kupata  huduma ya  chakula mjini Iringa la 4 Season Hotel tupo  barabara ya  kuelekea  ofisi ya  mkuu wa mkoa wa Iringa eneo la Gangilonga  kama  unaendelea  Dodoma kwa  barabara  kuu ya Iringa Dodoma  ni mkono wa kulia geti la  chuo  cha  Ruco na  kama  unatoka  eneo la  Kihesa  ni  mkono wa kushoto geti la Ruco uliza  4 Season Hotel ama  piga  simu 0713882088 au 0717345632

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni