HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumapili, 25 Mei 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KULA KIAPO ZA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI JANA


jk3Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini jana Mei 24, 2014
z2Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake  jana Mei 24, 2014
PICHA NA IKULU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni