HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumapili, 25 Mei 2014

RAIS KIKWETE AMFARIJI MAMAKE ZITTO KABWE , WATANZANIA TUZIDI KUMWOMBEA APONE

Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam
Picha na Freddy Maro

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni