| Powertalla akiwa imebaba abiria kupita uwezo wake eneo la Chimala wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya |
| Hii ni safari hatari zaidi |
| Boda boda inayosafirisha abiria wengi zaidi Mbarali mkoani Mbeya ila askari wa usalama barabarani wapo na mishikaki ya abiria wanne ikiendelea |
| Usalama uko wapi hapa na hii ni barabara kuu ya Iringa- Mbeya eneo la Chimala wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni