| Wananchi wenye hasira kali mjini Iringa wakimpa kichapo kibaka aliyetaka kuwapora masisita mkoba wao eneo la Miyomboni asubuhi ya leo |
| Kibaka huyo akiomba asipigwe |
| Kibaka akiwa amewekwa kati baada ya kunusurika kuchomwa moto wizi ni noma achana na wizi fanya kazi ndugu utauwawa bureeeeeee |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni