HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Alhamisi, 22 Mei 2014

HII NDIO ELIMU BORA YA TANZANIA HILI NI JIMBO LA KALENGA

Wanafunzi  wa shule ya msingi Mlanda jimbo la kalenga wakiwa darasani huku  wakikosa madawati na kulazimika kukaa chini wakati mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na mmisitu ya  Taifa  wa sao Hill na mengine mingi ,hii ndio elimu  bora ya Tanzania

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni