HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Alhamisi, 22 Mei 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB) UNAOFANYIKA KIGALI, RWANDA

 Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akiwa katika majadiliano na viongozi wa Benki ya HSBC kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere ‘Terminal III’. Majadiliano hayo yalifanyika katika Hotel ya Mills Colonie Mjini Kigali Rwanda.
 Mh.Saada Mkuya Salum,Waziri wa Fedha akiagana na Mkurugenzi wa Benki ya HSBC baada ya majadiliano yaliyofanyika katika Hotel ya Mills Colonie Kigali Rwanda.


Mh.Saada Salum Mkuya akiwa kwenye mazungumzo ya faragha na mratibu wa Mkoba Fund Bi.Erika Rubin mara baada ya mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Muhabura Mjini Kigali Rwanda.
 Waziri wa Fedha Mh.Saada M.Salum akimsikiliza kwa makini Bi.Erika Rubin mratibu wa mfuko wa Mkoba Fund wakati wa mkutano wao uliofanyika katika Hotel ya Serena Mjini Kigali Rwanda. Kulia kwa Mh.Waziri ni Nd.Jovin Rugemarila Afisa anayeshughulikia masuala ya ADB na mbele yake ni Kamishina msaidizi wa Fedha za nje –Wizara ya Fedha Nd.Jarome Bureta.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedhda Dkt. Silvacius Likwilile akieleza kwa muhtasari yale yaliyojadiliwa katika mikutano ya Benki ya maendeleo ya Afrika inayoendelea Nchini Rwanda. Anayemhoji Katibu Mkuu ni mtangazaji wa TBC Nd. Stanley Ganzel.

========

MH: WAZIRI  WA FEDHA HAUDHURIA MKUATANO WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEAO YA AFRIKA (AfDB) UNAOFANYIKA MJINI KIGALI – RWANDA.
Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akizungumza  na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Kusini Bw.Patrick Diamini (wa kwanza kushoto) Mjini Kigali Rwanda. Mh.Waziri yupo Nchini Rwanda kuhudhuria Mkutano wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika.
Mh.Saada M.Salum akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ya Kusini (DBSA) Bw.Patrick Diamini (wa pili kushoto) baada ya kikao kilichofanyika Mount Muhambara – Kigali Rwanda.
Waziri wa Fedha Mh.Saada M.Salum akipata maelezo kutoka kwa Amir Shaikh –‘Chief legal Council’ wa ‘African legal for Support Facilities’,wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa ‘African Legal for Support Facilities’ Bw. Stephen Karangizi.
On Thursday, May 8, 2014 8:55 AM, Ally Shaaban <ally.shaaban@yahoo.com> wrote:


sawa dada ntajitahidi niwasiliane nae.
On Wednesday, May 7, 2014 10:11 PM, sophia roden <sophiembeyu@msn.com> wrote:
AWW, hii ndio nr ya bibi  NEEMAi +255719 05 40 18 tigo +255763 27 17 15

Photo
Photo

Photo




Date: Wed, 7 May 2014 07:38:25 -0700
From: ally.shaaban@yahoo.com
Subject: Re: brev
To: sophiembeyu@msn.com

 A/ALAIKUM, HOPE YOU ARE OK.
Mpaka sasa kuna wasichana wawili wamenipigia simu sikuweza wauliza wanataka pair ngapi? Rai yangu
naona ni bora ikapatikana namba ya huyo dada na huyo kaka ikiwa itapatikana, ili unipatie hata niwasiliana nao hapa tukafanya hiyo bizznez. Mimi kabla ya kuwajibu nipate uhakika wa mawasiliano yako na huyo dada na kaka ili nikipata kuzungumza nao niwajulishe pamoja na kuwapa bei na wapi watavipata viatu hivyo ok.Nakutakia kila la kheir kazi njema na Mungu Akubariki.
Ahsante 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni