| Askari wa kituo cha ukaguzi wa magari check point ya mpakani mwa Njombe na Mbeya wilayani Mbarali wakiwajibika kuomba rushwa kutoka kwa madereva kama mpiga picha wetu alivyowanasa jana mchana |
| Hapa ni sehemu ya ulaji baba /mama andaa ugali mbona inakuja |
| Hallow vuta hiyo pesa haraka |
| Sasa tupeane mgao hapa hapa baba |
| Hapa wakigawana baada ya kuvuta rushwa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni