HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumamosi, 17 Mei 2014

MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU ,RAIS KIKWETE ASHIRIKI

Marehemu Private  Salya Rweyemamu  enzi za uhai  wake
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
Rais Kikwete na mkewe wakisogea  kuweka shada la maua
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati wa mazishi  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam(picha na Ikulu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni