Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akisaini karatasi inayokusanya
saini za wabunge za kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kwa lengo la
kuwasilisha kwa Spika mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Kiongozi wa Upinzani
Bungeni, Kabwe Zitto.
"Ninachoweza kusema kwenu nyie wenzangu ni kwamba mama yetu, mama Shida Salum, ANAUMWA sana. She's in acute pain. And, I couldn't stop shedding tears when I saw her. "
Ni bahati mbaya tu kwamba Zitto mwenyewe hawezi kusema hali halisi ya kuumwa kwa mama yake. But, kiukweli mama Shida Salum anaumwa. Analala, all the time. Ni wakumgeuza.
This time, when I went to see her in her room, all she did was to wake up and smile. She SMILED at me. Akalala tena.
Ijapokuwa wanao muuguza wanasema leo she's much better, mie ninaona mama anaumwa.
Kutoka kwenu nyote - kila mmoja kwa nafsi yake - ninawaombeni sana tumwombee mama yetu apone.
Tumwombee ajaliwe afya njema na uzima. She really needs our prayers.
Mimi na familia yangu tumemwombea. Nilikwenda na mke wangu na watoto wangu Tumesali sote ( na wanao muuguza) kwa pamoja.
Ninakuombeni sana tumwombee sana pia rafiki yangu mhe. Zitto katika kipindi hiki kigumu cha kumuuguza mama yake mpenzi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni