| Mkurugenzi wa TFDA akitoa maelezo ya utangulizi kuhusu warsha hiyo leo katika ukumbi wa RMO mkoani Mbeya |
| Utambulisho wa washiriki ukifanyika |
| Mgeni rasmi na wawakilishi wa TFDA wakiingia ukumbini |
| Wanahabari wakiwa katika warsha hiyo ya siku moja leo |
| Warsha ya wanahabari na wahariri mikoa ya nyanda za juu kusini |
| Wanahabari kutoka mkoa wa Njombe wakipiga picha na mgeni rasma |
| Wanahabari na wahariri kutoka mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na watendaji kutoka TFDA leo jijini Mbeya |
| Wanahabari kutoka mkoa wa Katavi wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi |
| Wanahabari kutoka mkoa wa Rukwa katika picha ya pamoja na watendaji wa TFDA na mgeni rasmi |
Wanahabari na wahariri wakiwa katika warsha ya TFDA leo jijini Mbeya
| Warsha ikiendelea katika ukumbi wa RMO Mbeya |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni