HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumatatu, 26 Mei 2014

TAARIFA KWA UMMA ,MTANDAO WA MATUKIODAIMA UTAKUJIA HEWANI HIVI PUNDE

Uongozi  wa mitandao ya www.matukiodaima.com na francisgodwinblog  unapenda kuwaomba  radhi  wadau  wake kwa kutokuwepo  hewani kwa  siku kadhaa  sasa  hii ni kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza na kwa  sasa tatizo hilo linashughulikiwa na  wakati  wotote  tutakuwa  hewani kama kawaida ,ila kwa  wakati  huu endelea  kupata matukio yote ya kila dakika na kila siku hapa 
 www.mwandishiwetu.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni