
Wamejaza mtaa: Mashabiki wa Atletico Madrid wakingalia ubingwa baada ya kutoka sare ya 1-1 Camp Nou

Bingwa: Diego Simeone akibebwa juu juu na wachezaji wake baada ya kutwaa ubingwa wa La liga jana

Sherehe kubwa: Mashabiki wa Atletico wakishangilia jana usiku


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni