kamanda wa polisi mkoni iringa Ramadhani mungi akizungumza na wandishi wa habari |
Jeshi la polisi mkoani iringa lawaomba wananchi kushirikiano katika ulinzi shirikishi ili kuondokana na matatizo ya wizi ujambazi uliokithiri mkoni hapa
Hayo yamesemwa na Kamanda mkuu wa polisi mkoani iringa Bwana Ramadhani MUNGI hivi karibuni alipokuwa ofisini kwake na kuwataka wananchi kuwa karibu na jeshi la poilisi ili kuweza kutatua matatizo yanayowakabili wananchi hao, Licha ya kuomba ushirkiano amewaomba kuwa makini katika kipindi hiki cha mfungo wa mwenzi mtukufu wa ramadhani
Hata hivyo kwa upande wa wananchi wao wameliomba jeshi la polisi mkoni iringa kufika mapema katka sehemu ya tukio ili kuweza kufanikisha zoezi la kuwakabiri vibaka na virugugu mbalimbali zinazo kuwa zimejitokeza na siyo kufika baada ya tukio
habari na Abdul marwa 0753320780
kutoka mkoani iringa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni