wakazi wa mjini Iringa wakitazama mwanamke aliyegongwa na boda boda mchana wa leo |
Wananchi Iringa mjini wakiitazama boda boda iliyoanguka baada ya kumgonga mtembea kwa miguu |
Wananchi wakimsaidia mwanamke aliyegongwa na boda boda |
Kijana aliyemgonga mtembea kwa miguu akinyanyua boda boda yake mbele ya askari wa usalama barabarani |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni