HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumapili, 25 Mei 2014

GARI LA MBUNGE WA IRINGA MJINI LANUSURIKA, LAPATA AJALI NDOGO UWANJA WA MWEMBETOGWA


Dereva wa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini jina lake halikupatikana alitumbukia katika gema la uwanja wa Mwembetogwa mjini na kusababisha hali hiyo kupata itilafu kidogo

Hapa vijana wa Chadema wakisaidia kuchimbua eneo hilo ili gari hiyo itoke 

waliendelea na jitihada hizo mpaka wakafanikiwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni