HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Jumapili, 18 Mei 2014

AJALI SINGIDA TENA , WATU 5 WAFA 16 HOI

Huku  watanzania  wakiendelea  kukumbuka ajali mbaya  iliyotokea mapema mwaka  huu  mkoani Singida kwa basi la Sumry  kuua  watu zaidi ya 5 kwa  kuwagonga ajali nyingine  imetokea leo na kusababisha  vifo vya watu 5 huku 16  wakijeruhiwa  vibaya .

Ajali  hiyo  imesababishwa na daladala waliyokuwa  wakisafiria kwenda  Igunga mkoani tabora kupinduka mlima Sekenke usiku wa kuamikia  leo na jeshi la polisi mkoa wa Singida  limethibitisha juu ya ajali  hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni