MWANA WA MFALME WA JAPAN PRINCE AKISHINO AWASILI ZANZIBAR
Mwana
Mfalme wa Japan Prince Akishino alieambatana na Mkewe Princess Akishino
wakiteremka kutoka kwenye ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume kuanza ziara ya siku moja hapa Zanzibar. Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mwinyihaji Makame akimlaki
Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino alieambatana na makewe Princess
Akishino katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume
Chukwani Zanzibar.
Mtoto
akimvisha shada la Mauwa Mwana Mfalme wa Japan Akishino alipowasili
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aamani Karume Chukwani Zanzibar. Mwana
Mfalme wa Japan Akishino akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Maalim Abdalla Mwinyi Khamis alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Amani Abeid Karume Chukwani Zanzibar. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein
akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar kwa mazungumzo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni