HOPE SERVICE STATION

nsekwa

ALTEZA

Ijumaa, 23 Mei 2014

KINANA AFANYA ZIARA JIMBONI KWA NCHEMBA IRAMBA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Iramba Magharibi wakati wa mapokezi katika kijiji cha Kiselya. Katibu Mkuu na msafara wake wameanza ziara katika wilaya ya Iramba kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi  ya CCM 2010 pamoja na kukagua uhai wa chama.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kubeba mawe ya ujenzi wa kituo cha afya cha Kiselya, wilaya ya Iramba kwa kushirikiana na viongozi wengine pamoja a wananchi.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wakazi wa kijiji cha Kiselya, wilayani Iramba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni